Katibu
Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akikiwasilisha
mada katika mkutano wa wadau katika kuchangia ushiriki wa Tanzania
katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki (Jamafest) leo Jijini
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani
240.
Mkurugenzi
wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Bibi. Leah Kihimbi akizungumza kwa niaba ya Waziri
Dkt. Harrison Mwakyembe katika mkutano wa wadau katika kuchangia
ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Afrika Mashariki
(Jamafest) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa
na wasanii takribani 240.
Mkurugenzi
wa Vipindi wa Clouds Media Group (CMG), Bw. Ruge Mutahaba akichangia
mada wakati wa kikao cha wanakamati ya maandalizi ya kufanikisha
ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika
Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani
240.
Mwakilishi
wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Bw. Nelson Madirisha
akisisitiza jambo wakati wa kikao cha wadau kufanyikisha ushiriki wa
Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki
(Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es
Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.
Picha
ikionyesha namba zinazotumika kupokea michango kutoka kwa wadau kwa
ajili ya kusaidia ushiriki wa wasanii kutoka Tanzania katika Tamasha la
Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) itakayofanyika
Jijini Kampala Uganda mapema mwezi Septemba.
Mmoja
wa wadau wa Sanaa na Utamaduni Bi. Esther Baruti akielezea jambo wakati
wa kikao cha wadau kufanyikisha ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la
Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest) litakalofanyika
Jijini Kampala, Uganda, leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa
kuwakilishwa na wasanii takribani 240.
Mmoja
wa wadau wa Sanaa na Utamaduni akijaza fomu baada ya kutoa ahadi ya
kuchangia fedha kwa ajili ya kufanikisha ushiriki wa Tanzania katika
Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika Mashariki (Jamafest)
litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, katika mkutano uliowakutanisha
wanakamati walioteuliwa na Mhe. Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo pichani) leo Jijini Dar es
Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na wasanii takribani 240.
Baadhi
ya wadau waliofika kwenye mkutano huo uliowakutanisha wadau mbalimbali
kutoka sekta binafsi ili kuchangia fedha kwa ajili ya kufanikisha
ushiriki wa Tanzania katika Tamasha la Utamaduni la Jumuiya ya Afrika
Mashariki (Jamafest) litakalofanyika Jijini Kampala, Uganda, katika
mkutano uliowakutanisha wanakamati walioteuliwa na Mhe. Waziri wa
Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo
pichani) leo Jijini Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kuwakilishwa na
wasanii takribani 240.
No comments:
Post a Comment