Wednesday, June 27, 2012

Matukio mbali mbali hospitali ya Muhimbili leo

Madaktari wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam wakimpakia kwenye Gari Daktari Mwenzao aliepatwa na Mkasa wa Kutekwa Nyara na watu wasiojulikana na ambao walimjeruhi vibaya sana,Dk. Steven Ulimboka aliepatwa na mkasa huo usiku wa kuamkia leo huko katika msitu wa Mabwepande,jijini Dar
Wanahabari wakihangaika kupata picha ya Dk. Steven Ulimboka alieinginzwa kwenye gari hiyo tayari kwa kupelekwa kwenye Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa matibabu zaidi.
Madaktari na wauguzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakiisukuma gari iliyokuwa imempaki Dk. Stevan Ulimboka.
Madaktari na Wauguzi wa Muhimbili wakiwa wamesimama huku wakizungumzia hali iliyompaka mwenzao.

Wanahabari wakitafuta taswira.
hakuna kazi iliyokuwa ikifanyika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wakati Dk. Ulimboka akifikishwa hospitalini hapo.









2 comments:

Anonymous said...

poleni kwa wenye kuguswa na huyu mtu asiye mzalendo.hivi madaktari si wamegoma? imekuwaje huyu mnyama anapata matibabu kwenye hii nyumba ya mtibabu ya serikali.Serikali ambayo wanaigomea kiinimacho ilihali ukweli wanatugomea sisi wanainchi ambao ndiyo tunapata huduma hapo tena kwa kulipa.Mbona wasimpeleke nyumbani kwa mkewe aendelee na mgomo na kama kujiuguza akaijuguze na madaktari uchwara wenzie tujue kweli wao wanajua kugoma na wean msimamo thabiti.Mie nailaumu serikali kuruhusu huyu kiongozi wa madaktari uchwara kuingia eneo la hospitali yake kwa dhamana ya wananchi,nimeumia sana kwa hilo,Steven ulimboka hastahili huduma wala huruma yoyote kwani hana huruma kwa binaadamu.

mbogolo said...

Kwa upeo wangu sikubaliani kasiba na vitendo vyovyote vya kihuni viwe vya serikali au kundi la watu.
mara nyingi mwisho wa ubaya AIBU
Katika hili kama ni serikali ni kaburi lake kwa sababu ikibainika hivyo na wananchi wakaamua kuandamana kwa ukatili huu tujiande viongozi kusimama mbele ya mahakama kwa kesi za mauaji
kama ni kikundi cha watu kimefanya hinyo basi serikali ionyeshe kuwa hako tayari kuona watu hao wanajipenyeza katika migogoro kama hiyo kwa lengo la kuidhalilisha ionekane inavizia kuku wake kwa manati.
MWISHO TU NA BARAZA AU SHIRIKA HURU LA USALAMA WA TAIFA AMBALO LITAKOMESHA VIASHILIA VYOTE VYA UVUNJIFU AMANI BILA KUJALI CHEO:
SABABU KUU
WATU KUIBA PESA ZA SERIKALI KIUJANJA UJANJA KUNASABISHA MIGOMO KAMA HII
WATU KUCHUKULIWA HATU KWA KUANGALIA ADHALI ZA KISIASA LINAIBUA KUNDI LENYE NEEMA NA KATIKA NCHI YENYE USAWA
KUTOKOMESHWA KWA WIZI WA RASILIMALI ZA NCHI KUUA UDHALENDO NA KUJENGA TAIFA LA WAJANJA
WATU KUPATA KAZI KWA KUJUANA NI KASORO NYINGINE INASBABISHA WATU KUVURUGA USTAWI WA USAWA:
KUTOKANA NA UDHAIFU KUJISAHAU AU KUKATA TAMAA KWA IDARA YA USALAMA WA TAIFA TUTAPATA VIONGOZI AMBAO LENGO LAO NI KUTEKELEZA MATAKWA YA WATU FULANI NDANI NA NJE YA NCHI:
TUACHE NA SHABIKI TANZANIA KWANZA MASLAHI BINAFSI BASI