Saturday, March 31, 2012

Mzee Mkapa afunga kampeni za CCM jimbo la Arumeru mashariki kwa kishindo leo




 Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akihutubia kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara,Mh. Pius Msekwa akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Katibu Mkuu wa CCM,Mh. Wilson Mukama akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Mgombea  Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CCM,Sioi Sumari akihutubia kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - Mahusiano na Uratibu,Stephen Wassira akisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Wabunge toka sehemu mbali mbali ambao wapo Arumeru Kumsaidia Kampeni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki wakisalimia wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa akiwasili kwenye  viwanja vya kijiji cha King'ori kata ya Leguruki wakati wa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin William Mkapa akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari wakati akiwasili kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa pamoja na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tikeki ya CCM,Sioi Sumari wakisalimia wananchi wakati wakiwasili kwenye Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowasa wakati akiwasili viwanjani hapo.
Mama Mzazi wa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki,akisalimia wananchi wa Kijiji hicho.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowasa akisalimiana na Mbunge wa Jimbo la Simanjiro,Mh. Christopher Ole Sendeka mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Kufunga Kampeni za Uchaguzi Mdogo wa Jimbo Arumeru Mashariki uliofanyika leo katika kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Mh. Mkapa akiagana na Mh. Peter Serukamba.
Mh. Edward Lowasa akijadiliana jambo la Mh. January Makamba.
Mh. Lowasa akiagana na wananchi wa kijiji cha King'ori kata ya Leguruki.
Meza kuu.

1 comment:

Anonymous said...

huu ni upendeleo mbaya sana wa kutoa picha nyingi na shuguli za chama kimoja sio mzuri, kwani wanao soma blog hii sio lazima uwe mpenzi ,wmanachama au mkereketwa