Saturday, May 28, 2011

NELLY KAMWELU NDIE MISS UNIVERSE 2011


Miss Universe 2011,Nelly Kamwera akiwani mwenye furaha mara baada ya kushinda usiku huu katika mashindano yaliyofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar.

Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu (kati) akiwa na mshindi wa pili,Neema Kilango (kulia) na Mshindi wa tatu,Yaceba Asenga mara baada ya kumalizika kwa mashindano ya Miss Universe 2011 yalifofanyika katika hoteli ya Golden Tulip,Masaki jijini Dar usiku huu.

Mkuu wa Udhamini wa Vodacom Tanzania,George Rwehumbiza (kulia) na Meneja wa Mambo ya Nje wa Vodacom,Nector Foya wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Universe usiku huu.

Mwanzilishi wa Mtandao wa Jamii Forums,Maxence Melo (kulia) na Mmoja wa wasaidizi wake,Bahati Chande wakiwa pamoja na top 3 ya Miss Universe usiku huu mara baada ya kuwapatia zawadi za simu aina Blackberry washindi wa pili na wa tatu.

Miss Universe 2010 aliemaliza muda wake usiku wa leo,Hellen Dausen akimvisha Crown Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu ikiwa ni ishara na kukabidhima rasmi majukumu hayo ya ulimbwende.

Top 5 (anaekatika katikati yao ni MC Abby)

Mratibu wa shindano la Miss Universe,Maria Sarungi akitangaza washindi katika kinyang'anyiro hicho.

Mkurugenzi wa Vodacom Foundation ambaye pia alikuwa ni mmoja wa majaji wa mashindano hayo,Mwamvita Makamba akiuliza swali kwa mmoja wa washiriki wa Miss Universe wakati wa kipindi cha maswali na majibu.

Washiriki woote stejini.

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na Majaji.

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja na wadhamini waliofanikisha shughuli nzima ya Miss Universe usiku huu.

Majaji wakifuatilia mashindano.

Mwanalibeneke Othman Michuzi akila konozz na Miss Universe 2011,Nelly Kamwelu katika red carpet.

steji.

AY na Miss Universe 2011.

Ankal akila konozz na Dada zake.

Ankal akila konozz na Wanalibeneke wa Jamii Forums,kulia ni Mike na shoto ni Maxence Melo.

Ankal na Vijana wake wa Kazi.

Ankal na Mdau Richard Rwechungula kutoka Norway ambaye kwa sasa yuko hapa nchini kwa vekesheni fupi.

Mwanamazingaombwe wa Kimataifa,Akanashe Joan akifanya mambo yake.

Akanashe Joan akiwa na kundi lake la African National wakiwajibika usiku huu.

Pozzzzz..............

Da' Mwammy wa Vodacom (pili kulia) akiwa na Shemeji yetu.

Wadau wa Vodacom.

Wadau mbali mbali toka kila mahali walifika katika hoteli ya Golden Tulip usiku huu kushuhudia nani ananyakua taji la Miss Universe 2011.

No comments: